
MWAMBA NTIBANZOKIZA KAIBUKA
MWAMBA Saido Ntibanzokiza anafikisha mabao 9 ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24 baada ya kufunga mabao mawili kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Geita Gold. Mei 22 baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Azam Complex ulisoma Simba 4-1 Geita Gold ambapo pointi tatu mazima zilibaki Msimbazi. Ni Geofrey Julius…