
WINGA MKONGO APEWA MIKOBA YA AMBUNDO NA SAIDO
WAKATI leo nyota wawili wa Yanga, Said Ntibanzokiza na Dickson Ambundo wakitarajiwa kuukosa mchezo wa nusu fainali dhidi ya Simba mikoba yao inatarajiwa kuwa mikononi mwa Jesus Moloko. Ni kwenye suala la mapigo ya mipira huru hasa kona ambapo kwenye mechi za hivi karibuni ni Ntibanzokiza alikuwa akitumika mara kwa mara na Ambundo kidogo. Kwenye…