SIMBA WATAMBA KUIVUA UBINGWA YANGA MAPINDUZI
KUELEKEA mashindano ya Kombe la Mapinduzi yanayotarajiwa kuanza kutimua vumbi rasmi kesho Jumanne, uongozi wa Simba umetamba kuwa kikosi chao kiko tayari kwa ajili ya mashindano hayo na malengo yao makubwa ni kuwavua ubingwa watani zao wa jadi Yanga. Michuano ya Kombe la Mapinduzi ilianza rasmi jana Jumapili kwa mchezo mmoja kati ya Namungo dhidi…