HATIMAYE KAFIKA KOCHA SIMBA,YANGA YAMPA NABI MIAKA MIWILI
HATIMAYE kafika kocha wa viwango atua Simba,ana uzoefu na soka la Afrika ndani ya Championi Jumatano
HATIMAYE kafika kocha wa viwango atua Simba,ana uzoefu na soka la Afrika ndani ya Championi Jumatano
RASMI leo Juni 28,2022 Klabu ya Simba imemtangaza,Zoran Manojlovic kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo akichukua mikoba ya Pablo Franco ambaye alichimbishwa Mei 31,2022. Kocha huyo raia wa Serbia aliwahi kufundisha ndani ya kikosi cha Al Hilal ya Sudan hivyo ana uzoefu na soka la Afrika. Ana umri wa miaka 59 hivyo anakuja Tanzania kuendeleza…
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kwamba unahitaji pointi tatu za Biashara United ila hauna mpango wa kuishusha timu hiyo kwa kuwa wanajua kwamba hilo ni jambo baya na wanaamini kuwa timu hiyo ina mipango pia. Mchezo wa kesho ambao ni wa ligi,chaguo la Biashara United ni moja kuweza kushinda ili kutafuta nafasi ya kubaki…
AMES Kwasi raia wa Ghana na nyota wa zamani wa Asante Kotoko anatajwa kuwa kwenye hesabu za mabosi wa Simba kurithi mikoba ya Pablo Franco. Kwasi yeye zama za uchezaji wake alikuwa anacheza nafasi ya ulinzi ambapo alikuwa ni beki wa kushoto. Taarifa zinaeleza kwamba Simba wapo kwenye mazungumzo na kocha huyo raia wa Ghana…
MTENDAJI Mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania, Almas Kasongo amesema kuwa ni timu nne ambazo zitaiwakilisha Tanzania katika anga la kimataifa. Ni katika michuano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho barani Afrika ambapo ni nafasi nne zipo kwa timu za Tanzania. Kasongo amesema Yanga na Simba tayari wameshapatikana kuwakilisha michuano ya Ligi ya…
MTENDAJI Mkuu wa Bodi ya Ligi TPLB, Almasi Kasongo leo Juni 28, 2022 ametangaza ratiba ya mchezo wa Ngao ya hisani kuwa utachezwa Agosti 13, 2022 mwaka huu. Kasongo amefafanua zaidi kwa kusema kikanuni mchezo huo hukutanisha bingwa wa ligi na bingwa wa FA, lakini iwapo bingwa wa ligi na FA akiwa ni mmoja…
GLOBAL TV imefanya mahojiano na Dereva aliyeendesha gari walilotumia Yanga kwenye kushangilia Ubingwa wao jana juni 26, ambalo limetoka nchini Uganda. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
KIPA namba moja wa kikosi cha Simba ambacho kwa sasa kipo chini ya Kaimu Kocha Mkuu, Seleman Matola Aishi Manula ameongezewa mkataba wake wa kuendelea kuitumikia timu hiyo. Nyota huyo mkataba wake ulikuwa unakaribia kufikia ukingoni na kuna timu ambazo zilikuwa zimeanza mazungumzo naye kwa ajili ya kuinsa saini yake. Manula ambaye ni chaguo la kwanza…
MWAMBA huyu hapa Yanga yamshusha Dar,yamficha hotelini,ni mfungaji bora Zambia na Bosi aahidi sapraizi ya majembe mapya Simba ndani ya Spoti Xtra Jumanne
SHIZA Ramadhan Kichuya staa wa Namungo jana amefunga mabao matatu kwenye mchezo wa ligi na kufanya aweze kufunga hat trick kwenye mchezo huo ikiwa ni ya pili ndani ya ligi. Kichuya alifunga mabao hayo ilikuwa dk ya 23,50 kwa mkwaju wa penalti na lile la tatu ilikuwa dk ya 66 kwenye ushindi wa mabao 4-2…
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa suala la mchezaji wao Bernard Morrison ambaye amepewa mapumziko na mabosi hao kutokana na matatizo ya kifamilia lipo wazi kwa timu ambayo inamuhitaji ni lazima utaratibu ufuate.
KATIKA kuhakikisha wanakuwa na kikosi imara kuelekea msimu ujao wa 2022/23, uongozi wa Azam FC umejipanga kufanya maboresho makubwa kwenye kikosi chao ili wajiweke kwenye nafasi nzuri ya kutwaa ubingwa baada ya kuukosa msimu huu. Azam FC imekuwa na mwenendo wa kupanda na kushuka kwenye Ligi Kuu Bara huku pia kikosi hicho kikitupwa nje kwenye…
SIMBA ipo kwenye mchakato wa kusaka kocha mpya wa makipa baada ya Tyron Damons kupata dili jipya nchini Afrika Kusini. Taarifa rasmi kutoka Simba imeeleza kuwa kwa hatua ambayo wamefikia wanamshukuru kocha huyo hivyo watasaka mbadala wake kwa ajili ya kuwa kwenye kikosi hicho. “Klabu ya Simba inamtakia kila la heri kocha wa magoli kipa…
YANGA jana Jumapili waliweza kulisimamisha Jiji la Dar wakiwa wanalitembeza kombe lao la Ligi Kuu Bara walilolitwaa msimu huu wa 2021/22. Ubingwa huo ni wa 28 kwa Yanga ambapo jana Jumamosi walikabidhiwa kombe lao baada ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbeya City uliochezwa Uwanja wa Sokoine, Mbeya. Msemaji wa Yanga, Haji Manara,…
KIUNGO wa kazi ngumu ndani ya kikosi cha Simba SC, Mzamiru Yassin, amejifunga miaka miwili kuendelea kuvaa uzi mwekundu. Mzamiru ni chaguo la kwanza la Kaimu Kocha Mkuu wa Simba, Seleman Matola ambaye amempa jukumu la kuichezesha timu na kusambaza mipira mirefu kama alivyofanya kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Mbeya City. Mzamiru ambaye alijiunga…
HAIJAWAHI kutokea unaambiwa. Hiyo ni mara baada ya Yanga kufunga mitaa ya Jiji la Dar es Salaam na kujaa jezi za kijani na njano wakati wakilitembeza kombe lao la ligi kuu ambalo wamelibeba msimu huu. Yanga ambao walitua jijini Dar majira ya saa tano asubuhi wakitokea jijini Mbeya ambako walitoka kucheza na Mbeya City juzi…
IMEFAHAMIKA kwamba, mshambuliaji mpya wa Yanga, Mzambia, Lazarous Kambole, ndani ya kikosi hicho alichosaini mkataba wa miaka miwili, atakuwa analipwa zaidi ya shilingi milioni 278. Kambole amejiunga na Yanga akitokea Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini akiwa ni mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake. Mchezaji huyo ni wa kwanza kutambulishwa ndani ya Yanga kuelekea msimu…