YANGA YATIKISA JIJI,NDANI YA CHAMPIONI JUMATATU
YANGA yatikisa jiji ndani ya Championi Jumatatu
YANGA yatikisa jiji ndani ya Championi Jumatatu
WAKIWA Uwanja wa Sokoine, Mbeya leo Simba wamechezeshwa pira gwaride kwa kunyooshwa bao 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons. Ni Benjamin Asukile ambaye alipachika bao la ushindi kwa Prisons ilikuwa dk ya 59 na kuwafanya Simba kuambulia maumivu ugenini. Tanzania Prisons wameweza kulipa kisasi cha kupoteza mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Mkapa ambapo walifungwa bao…
AKIWA ni miongoni mwa mastaa waliopo kwenye kikosi cha kwanza Kibu Dennis ameshuhudia ubao ukisoma Tanzania Prisons 0-0 Simba. Ni kwenye mchezo wa ligi ambao kwa sasa ni mapumziko Uwanja wa Sokoine,Mbeya. Kwa upande wa Prisons wamekuwa imara kwenye kuzuia mashambulizi ya Simba ambayo yanatengenezwa na kiungo huyo huku kazi ya Peter Banda ikiwa kwenye…
SELEMAN Matola, Kaimu Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba ameweza kuifanya timu hiyo kuweza kuogopesha kwenye mechi tatu ambazo amekaa kwenye benchi. Matola amekaimu mikoba ya Pablo Franco ambaye alikuwa kocha mkuu kabla ya kufutwa kazi kutokana na kushindwa kufikia makubaliano ambayo alipewa na mabosi hao ikiwa I pamoja na kukosa ubingwa wa ligi na…
BAADA ya mabingwa Yanga kukabidhiwa ubingwa wao wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2021/22 mbele ya Mbeya City kwenye sare ya kufungana bao 1-1, Uwanja wa Sokoine bado ligi inaendelea. Leo Juni 26, mechi mbili za mzunguko wa 29 zitachezwa ambapo kila timu inapambana kusaka pointi tatu muhimu. Namungo FC itakuwa ugenini Uwanja wa Manungu…
MEDDIE Kagere mshambuliaji wa mabao ndani ya Simba anatajwa kuwa miongoni mwa mastaa ambao watapigwa chini ndani ya kikosi hicho kinachoshiriki ligi. Simba leo ina kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Tanzania Prisons mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Sokoine. Habari kutoka ndani ya Simba zimeeleza kuwa tayari mabosi wa Simba wameanza mpango wa kusaka mbadala…
YANGA raha yatwaa ubingwa bila kufungwa ndani ya Spoti Xtra Jumapili
KIUNGO aliyedumu akiwa na uzi wa Simba kwa miaka miwili, raia wa Zambia, Rally Bwalya, amesema kuwa kucheza kwenye Ligi Kuu Afrika Kusini na klabu ya Amazulu FC ni kutimiza ndoto ambayo alikuwa nayo muda mrefu. Bwalya alisema kuwa Amazulu ni moja kati ya timu kubwa Afrika Kusini na anaamini itakuwa sehemu ya yeye kuelekea…
LEO ndio Leo, siku ambayo mashabiki, wapenzi na wanachama wa Yanga waliisubiri kwa muda mrefu, kupokea kombe lao la ubingwa wa 28 wa ligi kuu Tanzania bara na kuzunguka nalo mji mzima wa Dar es Salaam na viunga vyake… Sasa Global TV tupo Airport ya Mwl Julius Nyerere tukiwasubiri Yanga wakitokea Mbeya na tutakuonesha kila…
MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Mzambia, Lazarus Kambole, amefunguka kuwa moja ya malengo yake ni kuhakikisha anaipa Yanga makombe mengi pamoja na kufikia malengo ya michuano ya kimataifa msimu ujao. Kambole amejiunga na Yanga kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini ambayo ameachana nayo baada ya mkataba wake kumalizika. Mshambuliaji huyo ana…
Mmiliki mpya wa Klabu ya Chelsea, Todd Boehly amekutana na Jorge Mendes ambaye ni Wakala wa Cristiano Ronaldo ikidaiwa wamezungumza kuhusu usajili wa Mshambuliaji huyo raia wa Ureno Inaelezwa walikutana wiki iliyopita na mazungmzo yanaendelea. Mkataba wa Ronaldo ndani ya United umebaki mwaka mmoja, klabu hiyo ina nia ya kuendelea naye lakini kumekuwa na taarifa…
MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya Mbeya City dhidi ya Yanga umekamilika Uwanja wa Sokoine kwa timu zote mbili kugawana pointi mojamoja. Ni Yanga walianza kupata bao la kuongoza kwenye mchezo wa leo uliokuwa na ushindani mkuwa mwanzo mwisho. Bao la Heritier Makambo ilikuwa dk ya 39 liliweza kujazwa kimiani na lilidumu mpaka dk…
KOMBE Jipya la Ligi Kuu Bara la NBC lipo Uwanja wa Sokoine, Mbeya,ambapo mabingwa wa msimu wa 2021/22 watakabidhiwa mara baada ya kukamilisha dk 90 mbele ya Mbeya City. Kwa sasa mchezo ni mapumziko ampabo ubao unasoma Mbeya City 0-1 Yanga mtupiaji akiwa ni Heritier Makambo dk ya 39 kwa shuti lililoweza kugonga mwaba kabla…
HIKI hapa kikosi cha Yanga dhidi ya Mbeya City,Uwanja wa Sokoine Mbeya hiki hapa:- Diarra Djuma Yassin Mwamnyeto Job Bangala Aucho Sure Boy Ushind Makambo
ANAANDIKA Dickson Job,beki wa kikosi cha Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Starsnamna hii:-Habari watanzania. Mimi ni DICKSON JOB mchezaji wa Klabu ya Yanga. Nawakaribisha kutuunga mkono Katika siku maalumu tuliyoiandaa kwaajili ya kutoa Shukran zetu kwa jamii tuliyoipa jina la WAPE TABASAMU itakayofanyika tarehe 08/07/2022 Mkoani Morogoro. Siku hii ni maalumu kwaajili ya…
JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool anaamini kwamba kuondoka kwa Sadio Mane ni jamo gumu kwake kwenda nalo sawa kwa sasa. Mane raia wa Senegal sasa atakuwa ni mali ya Bayern Munich baada ya timu hiyo kukamilisha usajili wake. Unakuwa ni usajili wa tatu kwa Bayern Munich kukamilika ambapo Mane anakwenda kuchukua mikoba ya Robert…