Messi Afunguka Sababu ya Kulia Baada ya Kufunga Hat-Trick Kombe la Dunia 2026
Nahodha wa Argentina, Lionel Messi, amefichua sababu iliyomfanya ashindwe kuzuia hisia zake na kulia baada ya kufunga bao lake la kwanza katika ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Algeria kwenye mchezo wa ufunguzi wa Kombe la Dunia 2026. Messi, mwenye umri wa miaka 38, alionekana akifuta machozi kwa jezi yake mara baada ya kuifungia Argentina…