Simba SC yaripoti kuhusu matobo chumba cha kubadilishia nguo
SAA chache zikiwa zimebaki kabla ya mchezo wa Kariakoo Dabi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa New Amaan Complex saa 2:15 uongozi wa Simba SC umeripoti taarifa kuhusu uwepo wa matobo chumba cha kubadilishia nguo. Yanga SC vs Simba SC zinatarajiwa kukutana leo ukiwa ni mchezo wa mzunguko wa kwanza NBC Premier League. Taarifa iliyotolewa na Simba…