
AZAM FC WANA TAJI MOJA MKONONI LIKIYEYUKA NDO BASI TENA
HAKUNA Prince Dube, hakuna Ayoub Lyanga hata Abdul Suleiman, ‘Sopu’ naye ndani ya kuwania tuzo za Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23. Wakati mwingine tuzo huwa zinakuwa ni kipimo cha ubora na muda mwingine ni kipimo cha kuongeza hasira za mapambano. Haina maana kwamba wachezaji wa Azam FC hawana ubora haina maana kwamba waliotajwa kwenye…