Featured
Featured posts
MAKIPA BONGO NA MIGUSO YAO YA MAANA
MAKIPA wengi kazi yao ni kuzuia michomo kuingia ndani ya lango ila wamekuwa pia na mchango kwenye miguso ya mwisho inayosababisha kupatikana kwa ushindi kwa timu zao. Leo tunaangazia rekodi za makipa ndani ya Bongo ambapo pasi zao zilikuwa chachu ya ushindi kwenye mechi ambazo walicheza katika mashindano tofauti:- Nurdin Barola Msimu wa 2020/21, Septemba 6,2020…
NAFASI YA STARS KUFUZU KOMBE LA DUNIA NI 50/50
NAFASI ya Tanzania kuhusu kufuzu Kombe la Dunia kweda Hatua ya Play off naiona ni 50/ 50 yaani lolote linaweza kutokea kwenye mpira maana hawako katika nafasi nzuri sana wala mbaya kwenye msimamo wa kundi J. Ikumbukwe kwamba kwa sasa Tanzania ni kinara wa kundi hilo akijikusanyia pointi 7 kwenye mechi 4 ambazo amekwishacheza mpaka…
SIMULIZI YA JAMAA ALIYEPOTEZA NG’OMBE WAWILI
SIMULIZI ya aliyeibiwa Ng’ombe wawili kisha akawapata ipo namna hii:- Ama kwa hakika kila mtu anapaswa kuheshimu mali ya mwenzake kwa vyovyote vile kwani ndio undugu unaohitajika. Kwa jina ni Simon kutoka kaunti ya Vihiga. Nilikuwa mfanyibishara haswa wa kilimo. Nilikuwa na Ng’ombe wawili wa maziwa ambao nilikuwa Napata faida nyingi kutokana na uuzaji wa…
SIMULIZI YA ALIYETAKA KUFURUMUSHWA KISA ALIKUWA KIJIJINI
SIMULIZI ya aliyetaka kufurumushwa kisa alikuwa kiijini Kwa jina ni Elizabeth kutoka katika kaunti ya Bungoma. Tulikuwa kwenye ndoa na mume wangu Benson kwa muda wa miaka minne sasa. Tulikuwa na maisha mazuri kwani hakuna lolote lililokuwa na kuvunja uhusiano wetu kuja miogoni mwetu. Benson alikuwa ni mwanamume ambaye alijali maslahi yangu nami nilikuwa wa…
TAIFA STARS MATUMAINI KAMA YOTE KUFUZU KOMBE LA DUNIA
HESABU kubwa kwa sasa kwa Kim Poulsen ambaye ni Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars ni kuona namna gani timu hiyo itafanikiwa kufuzu Kombe la Dunia. Novemba 11, Stars itakuwa na kazi mbele ya DR Congo mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Spoti Xtra limezungumza na Poulsen ambaye anafunguka mipango namna hii:- “Wachezaji wapo…
SIMULIZI YA MWANAMKE ALIYEKUWA AKITESWA NA TATIZO LA HARU
SIMULIZI ya Mwanamke alikuwa akiteswa na tatizo la harufu mbaya Ama kwa hakika mwanamke ni mtu anayepaswa kuwa msafi kila mara. Hii ilikuwa tofauti na hali yangu kwani suala la kuwa nadhifu lilikuwa ni ndoto. Kwa jina ni Kathure kutokea kwenye kaunti ya Meru. Nilikuwa kwenye ndoa kwa muda wa miaka 6 sasa. Tulikuwa tunaishi…
STARS KAZI NI KWENU KUWAPA RAHA MASHABIKI
MAANDALIZI yamezidi kupamba moto kwa wachezaji 27 ambao waliitwa na Kocha Mkuu, Kim Poulsen kwa ajili ya kuanza kujipanga kwa mechi za kimataifa ambazo ni ngumu na muhimu kupata ushindi. Kwa hilo kinachotakiwa kwa wale ambao wameitwa katika timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars ni kuwapa raha mashabiki ambayo ni ushindi hakuna namna nyingine….
SIMULIZI MUAMALA ULIOKOSEWA
SIMULIZI ya kijana aliyefanya makosa wakati wa kutuma shilingi, mkwanja kwa ndugu yake na namna muamala wake ulivyoweza kurejea. Sijawahi kuhisi jinsi nilihisi wakati mtu mmoja kwa jina Mpapale alipokea pesa yangu na kukataa kuirudisha. Nilikuwa na mgonjwa katika Hospitali moja kubwa Afrika Mashariki na ilipangwa kutolewa Ijumaa. Nilikuwa nimepata mshahara wangu na nilidhani ni…
LEWANDOWSKI WA ACHA TU HUKO UEFA
NOVEMBA 2,2021, Robert Lewandowski aliweka rekodi ya kuwa miongoni mwa wachezaji waliofunga na kutoa pasi ya bao pamoja na kukosa penalti kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mara ya mwisho ilikuwa ni Novemba 2013 kufanyika jambo hilo alikuwa ni Diego Costa alipofanya hivyo katika Ligi ya Mabingwa Ulaya. Lewandowski alifanya hivyo wakati timu…
SPORTPESA NGUZO YA MWENDO WA WAKONGWE YANGA
NDANI ya miaka minne tu, kampuni maarufu zaidi nchini ya michezo ya kubahatisha ya SportPesa ndio inayoshikilia rekodi ya kuwa kampuni iliyoweka fedha nyingi zaidi za udhamini katika klabu kongwe zaidi nchini ya Yanga na ndio mabingwa wa kihistoria. Yanga ndio klabu kongwe na ambayo imechukua makombe mengi zaidi ya Ligi Kuu Bara…
MAMBO 7 YALIWATOA SIMBA KWENYE RELI LIGI YA MABINGWA
KINYONGE kabisa wawakilishi pekee katika mashindano ya kimataifa Simba wanakwenda katika Kombe la Shirikisho baada ya Oktoba 24 kutolewa kizembe Uwanja wa Mkapa kwa kufungwa mabao matatu ya ajabu wakiwa nyumbani. Ni maumivu kwa mashabiki wa Simba,viongozi pamoja na wachezaji kwa kukosa nafasi ya kutinga hatua ya makundi, leo tunaangazia mabmbo 7 ambayo yaliifanya…
NABI REKODI ZAKE KAMA ZOTE YANGA
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga alitambulishwa ndani ya kikosi hicho ilikuwa ni Aprili 20 na alianza kazi yake ya kwanza katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Katika mchezo huo uliochezwa Aprili 24, Nabi alishuhudia Uwanja wa Mkapa ubao ukisoma Azam FC 1-0 Yanga hiyo ilikuwa inaitwa…
WALIFANYA POA ILA HAWAKUTAJWA KWENYE ORODHA YA TUZO
WAPO watu leo wengine watakuwa kwenye mnuno wa kishkaji kwa kushindwa kusepa na tuzo katika sherehe iliyofanyika Ukumbi wa kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere,(JNICC) ambapo tuzo zitatolewa huku wengine wakiwa na furaha baada ya kusepa na tuzo hizo. Kwenye tuzo hizo kuna baadhi ya mastaa ambao walifanya kazi nzuri ila kutokana…
WAWAKILISHI WETU KIMATAIFA KAZI IPO KWENU
KUPATA nafasi ya timu nne kushiriki katika mashindano ya kimataifa kunahitaji matokeo mazuri kwa wawakilishi wetu wa kimataifa ambao wana kazi ya kupeperusha bendera. Kufanya kwao vizuri kwenye mechi za mwanzo ni hatua nzuri na inaongeza nguvu ya kupambana kwenye mechi zijazo kwa sababu wamepata sehemu ya kuendelea pale ambapo walikuwa wameishia. Simba ambao ni…
FEI TOTO ATOA SIRI YA MABAO YA KIDEONI
KIUNGO mzawa wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’, amebainisha kuwa amezoea kufunga mabao magumu jambo ambalo halikumpa shida kuwatungua KMC. Nyota huyo ambaye juzi Jumanne alifunga bao la kideoni nje ya 18 na kutoa asisti katika ushindi walioupata Yanga wa mabao 2-0, amesema ataendelea kufunga kwa staili hiyo kila akipata nafasi. Akizungumza na…
KIKOSI BORA CHA LIGI YA WANAUME
Utoaji wa tuzo umefanyika Oktoba 21 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere uliopo Posta, Dar es salaam.Tuzo hizo ziligawanyika katika makundi makuu matatu ambayo ni ligi kuu, Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC), maarufu kama FA na Ligi ya Wanawake. Kikosi bora cha Ligi ya Wanaume 1. Aishi Manula 2. Shomari Kapombe 3….