MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili.
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili.
NYOTA Fiston Mayele wa Yanga kipindi cha pili ameweza kupachika bao la ushindi katika mchezo wa Kombe la Shirikisho uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba. Bao hilo la Mayele lilipachikwa dakika ya 53 akiwa ndani ya 18 na kuwafanya mashabiki wa Yanga kunyanyuka jukwaani baada ya kuifunga Mbao FC. Ushindi huo unaifanya Yanga kutimga hatua ya…
UWANJA wa CCM Kirumba, milango bado ni migumu kwa timu zote mbili katika mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya 32 bora. Ni Yanga ambayo ulitinga hatua ya fainali na Mbao FC ya Mwanza ambayo inashiriki First League. Kipa Aboutwalib Mshery dakika ya 44 aliweza kufuta makosa yake kutokana kurudishiwa mpira na mchezaji wa Yanga….
NYOTA wa Wolves, Adama Traore amejiunga na Barcelona kwa mkopo hadi mwishoni mwa msimu huu kuitumikia timu hiyo. Nyota huyo alikuwa amewekwa kwenye hesabu na Kocha Mkuu wa Spurs, Antonio Conte hivyo kuibuka kwake ndani ya Barcelona maana yake ni kwamba imekula kwake sasa. Conte aliweka wazi kwamba anataka kuboresha kikosi chake lakini Spurs inaingia…
LEO Januari 29 Yanga itakuwa kwenye kazi ya kusaka ushindi mbele ya Mbao FC ambayo nayo pia inaska ushindi kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya 32 bora, Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Hiki hapa kikosi cha Yanga kinachotarajiwa kuanza mchezo unatarajiwa kuchezwa saa 10:00 jioni:- Mshery Aboutwalib Paul Godfrey Yassin Bakari Mwamnyeto Dickson…
LICHA ya baadhi ya mashabiki wa soka kuonyesha kutoridhishwa na kiwango cha kiungo, Clatous Chama kwenye mchezo ambao Simba ilikubali kipigo cha bao 1-0 ugenini dhidi ya Kagera, kiungo fundi wa zamani wa Simba, Mtemi Ramadhan amekuwa tofauti na kiwango alichokionyesha Chama kwenye mchezo huo. Chama amerejea Simba msimu huu wa usajili wa dirisha dogo…
KOCHA Mkuu wa Kikosi cha Yanga, Mohamed Nabi amesema amewapiga marufuku wachezaji na benchi la ufundi la timu hiyo kuzungumzia matokeo mabovu ya mahasimu wao Simba ambayo wamekuwa wakiyapata katika mechi zao za hivi karibuni na badala yake wajikite katika michezo yao na kuhakikisha wanashinda. “Nimewaambia wachezaji sitaki kusikia hata wanazungumza ishu za Simba kwani…
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wameshindwa kupata ushindi kwenye mechi zao ambazo wamecheza kutokana na kushindwa kuzitumia nafasi ambazo wamezipata na wanamatumaini makubwa ya kufanya vizuri kwenye mechi zao zijazo. Simba imeshindwa kupata ushindi kwenye mechi tatu ambapo ilikuwa mbele ya Mbeya City ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 mbele ya Mtibwa Sugar…
KWENYE viunga vya Bunju Complex kuna viwanja viwili ambavyo hutumiwa na Simba SC pamoja na Simba Queens kwa ajili ya mazoezi ya mechi zao za ligi pamoja na mashindano mengine. Huu hapa ni muonekano wa Uwanja ule wenye nyasi bandia upo namna hii:-
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba unawaheshimu wapinzani wao Mbao ambao watacheza nao leo kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya 32 bora lakini watawafunga. Mkurugenzi wa Mashindano ndani ya Yanga, Thabit Kandoro amesema kuwa wanatambua kwamba wana mchezo mgumu ila wanahitaji ushindi. “Baada ya droo kuchezwa tulijua kwamba tuna kazi ya kufanya mbele…
NYOTA wa Yanga, Djuma Shaban amefungiwa mechi tatu na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kosa la kumpiga kiwiko mchezaji wa Polisi Tanzania. Mbali na kufungiwa mechi tatu pia ametozwa faini ya shilingi milioni moja kwa kosa la kumpiga kiwiko mchezaji wa Polisi Tanzania. Mchezaji ambaye alionekana akipigwa kiwiko kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja…
BODI ya Ligi ya Soka Tanzania Bara imempiga faini ya Tsh milioni 3.5, Kocha Mkuu wa Simba, Pablo Martin Franco kutokana na makosa mbalimbali ya utovu wa nidhamu likiwemo la kupiga teke kiti kwenye mechi dhidi ya Mtibwa Sugar ya mkoani Morogoro. Mchezo huo ulichezwa Uwanja wa Manungu na dakika 90 zilikamilika kwa ubao kusoma…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumamosi, Januari 29,2022
Robo fainali ya mashindano ya AFCON kuendelea wikiendi hii. Mataifa 8 kuipambania nafasi ya kutwaa ubingwa wa Afrika. Kule Ufaransa, Coupe de France itaendelea! Nani ni nani? Jumamosi hii, Gambia kuchuana na Cameroon katika mchezo wa kwanza wa robo fainali ya AFCON. Gambia wanaingia kwenye hatua hii kama underdog lakini, uwezo wao uwanjani sio kitu…
UWANJA wa Bunju Complex, Simba Queens imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mlandizi Queens. Oppa Clement ametupia mawili na moja alitupia kwa penalti na bao jingine lilitupiwa na Laiya Barakat. Pongezi kubwa kwa kipa namba moja wa Mlandizi Queens ambaye alikuea ni mikono mia. Noaely Marakuti alikuwa imara langoni ndani ya dakika 90…
KIKOSI cha Simba leo kimefanya mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Dar City. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Januari 30 na mshindi atasonga hatua ya 16 bora Katika mchezo wa hatua ya 32 bora yule atakayepoteza mchezo safari yake inafika ukingoni jumlajumla. Ikumbukwe kwamba Simba ni…
LEO Januari 28,2022 Simba Queens inakibarua cha kusaka ushindi mbele ya Mlandizi Queens. Ni mchezo wa Ligi ya Wanawake ambayo inaendelea na unatarajiwa kuchezwa saa 10:00 jioni. Simba Queens ni mabingwa watetezi wanakutana na Mlandizi Queens ambayo itawakosa baadhi ya nyota wao ambao wamejiunga na timu ya taifa U 20. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa katika…