
BECKHAM ALAMBA DILI LA MAANA
DAVID Beckham imeripotiwa kwamba amelamba dili la maana la ubalozi nchini Qatar kwa malipo ya pauni milioni 150 sawa na shilingi bilioni 475. Dili hilo litamfanya staa huyo wa England kuweza kuuza sura kwenye Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar. Gwiji huyo alipigwa picha akiwa nchini humo mapema mwezi huu akitazama maeneo kadhaa ikiwemo viwanja…