
MAKUSU AFUNGUKIA ISHU YAKE KUIBUKIA SIMBA AMA YANGA
MSHAMBULIAJI wa zamani wa AS Vita na Orlando Pirates, Jean Marc Makusu Mundele, ameweka wazi kuvutiwa na timu za Simba na Yanga huku akiweka wazi yupo tayari kujiunga na mojawapo ya timu hizo. Makusu kwa sasa anakipiga DC Motema Pembe ya DR Congo mara baada ya kuwa na maisha magumu ndani ya Orlando Pirates. Akizungumza na Spoti Xtra moja kwa moja kutoka nchini…