OKTOBA 23 NI SIMBA V YANGA KWA MKAPA
MTENDAJI Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara, (TPLB) Almasi Kasongo Agosti 3, 2022 ametangaza rasmi ratiba ya Ligi Kuu ya NBC kwa msimu wa 2022/2023 ambapo Klabu ya Yanga itafungua pazia lake la ligi hiyo kwa kuwa mgeni wa Polisi Tanzania. Kwa upande wa Klabu ya Simba wao wataanza na Geita Gold FC…