
NJOMBE MJI WAANZA NA KICHAPO 8 BORA
WIDDEN Daphet, Kocha wa Njombe Mji amesema kuwa walishindwa kutumia nafasi ambazo walizipata jana katika mchezo wa hatua ya 8 bora. Huo ulikuwa ni mchezo wa kwanza wa kundi A katika fainali za First League huko Mwanza. Daphet amesema:”Tulishindwa kupata ushindi kwa kuwa hatukutumia nafasi ambazo tulizipata kwenye mchezo wetu. “Lakini bado tuna nafasi katika…