
KOCHA NABI AKUBALI UWEZO WA NYOTA WAKE
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ameweka wazi kuwa viwango vya wachezaji wake ambavyo wameonyesha kwenye mechi mbili amevutiwa navyo na anahitaji waweze kuongeza zaidi. Katika mchezo wa Ngao ya Jamii, Yanga iliweza kushinda mabao 2-1 dhidi ya Simba na iliweza kushinda pia mabao 2-1 mbele ya Polisi Tanzania ilikuwa kwenye mchezo wa ligi. Mabao…