
MAN UNITED YAPATA TABU MBELE YA VILLA
ASTON Villa ikiwa Uwanja wa Villa Park imewashushia balaa zito Manchester United kwa kufunga mabao yote manne wakati wakishinda 3-1. Ni Leon Bailey alipachika bao la ufunguzi dakika ya 7 kisha Lucas Diagne alipachika bao la pili dakika ya 11. Pia mabao mawili yalifungwa kupitia kwa Jacob Ramsey wa Villa ambaye alijifunga dakika ya 45…