
SIMBA YAMTAMBULISHA MWAMBA HUYU
ISMAEL Sawadogo kiungo mkabaji raia wa Burkina Faso ametambulishwa rasmi ndani ya kikosi cha Simba. Ni raia wa Burkina Faso ameletwa duniani 1996 ana miaka 26. Alikuwa anakipiga Klabu ya Difaa Hassani El Jadid Anakuja kuchukua mikoba ya Victor Ackpan ambaye atatolewa kwa mikopo. Ackpan raia wa Nigeria amekwama kufiti kikosi cha kwanza cha Simba…