
HIVI HAPA VIGONGO VYA SIMBA DESEMBA
MWEZI wa shughuli huu hapa Desemba ambapo kila timu zina vigongo vya kazi kukamilisha mwaka 2022 na kuukaribisha 2023. Simba nao wana kazi kubwa kusaka pointi tatu kwenye mechi ambazo wanacheza kusaka pointi tatu. Kete za Simba ni 6 ambazo ni dakika 540 tayari wameshayeyusha 90 ndani ya uwanja.Vigongo viwili pekee watakuwa nyumbani na vigongo…