
DIRECTOR KHALFANI AFARIKI LEO HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI
Muongozaji wa video za muziki nchini Tanzania ‘Director Khalfani Khalmandro’ amefariki Dunia leo asubuhi Mai 5, 2024 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu. Taarifa zilieleza kuwa Khalfani alilazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, taasisi ya mifupa MOI akiwa na tatizo la damu kuvilia kwenye ubongo lililopelekea changamoto ya kupooza upande wake…