Al Ahly Wamchapa Emam Ashour Faini Kubwa Kisa Mchezo wa Yanga
Klabu ya Al Ahly ya Misri imemtoza kiungo wao nyota, Emam Ashour, faini kubwa zaidi kuwahi kutolewa katika historia ya klabu hiyo, kufuatia kushindwa kwake kusafiri na kikosi kwenda Zanzibar kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Young Africans ya Tanzania. Kupitia taarifa rasmi, Al Ahly imethibitisha kuwa Ashour amepigwa faini…