Azam FC yatambulisha nyota mpya

Azam FC imekamilisha usajili wa kiungo Donovan Makoma rai awa Ufaransa kuwa katika kikosi hicho kuelekea msimu mpya wa 2026/27. Nyota huyu amesajiliwa akitokea Klabu ya Birkirkara ya Ligi Kuu Malta ikiwa ni mwendelezo wa kuongoeza nguvu kwenye kikosi hicho. Wengine ambao wametambulishwa Azam FC ni John Mano raia wa Sudan alitambulishwa Julai 21,2026 akitokea…

Read More

Wydad Yakanusha Taarifa za Simba Kuhusu Suleiman Mwalimu

Klabu ya Wydad Athletic Club ya Morocco leo Julai 22, 2026 imetoa taarifa rasmi ikikanusha madai yaliyotolewa na Simba SC kuhusu hali ya kimkataba ya kiungo Selemani Mwalimu, ikisisitiza kuwa taarifa hiyo haiakisi ukweli wa mkataba wa mchezaji huyo. Hatua ya Wydad imekuja baada ya Simba SC kuchapisha picha ikimuonyesha Selemani Mwalimu akisaini mkataba, ikiambatana…

Read More