Leo EPL Inaita! ni West Ham vs Man United, Chelsea vs Leeds

โšฝ๐Ÿ”ฅ USIKU WA MAAMUZI EPL ๐Ÿ”ฅโšฝ Saa 5 usiku macho yote London Stadiumโ€ฆโš’๏ธ West Ham vs Manchester UnitedPointi 3 si anasa โ€” ni lazima!Je, Carrick ataendeleza makali ya kikosi chake au West Ham watawazima taa? Lakini ratiba bado nzitoโ€ฆโšช Tottenham vs Newcastle โ€“ vita ya kasi na nguvu๐Ÿ”ต Chelsea vs Leeds โ€“ presha, mashambulizi na…

Read More

Singida Black Stars Wasukumizwa Nje ya CAFCC Baada ya Kifungwa 1-0 na CR Belouizdad

Wawakilishi wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) wamesukumizwa nje ya michuano hiyo kufuatia kipigo cha 1-0 dhidi ya Sead Ramovic na vijana wake wa CR Belouizdad katika dimba la New Amaan Complex, Zanzibar kwenye mchezo wa kundi C wa CAFCC. ๐…๐“: ๐’๐ข๐ง๐ ๐ข๐๐š ๐๐ฅ๐š๐œ๐ค ๐’๐ญ๐š๐ซ๐ฌ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐ŸŽ-๐Ÿ ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ ๐‚๐‘ ๐๐ž๐ฅ๐จ๐ฎ๐ข๐ณ๐๐š๐ โšฝ 03โ€™ Belhocini ๐‘€๐‘†๐ผ๐‘€๐ด๐‘€๐‘‚…

Read More

Super Heli Premium Yakupa Sekunde Chache Zenye Maamuzi Makubwa

Meridianbet Tanzania inaleta upepo mpya kabisa kwenye kasino mtandaoni kwa Super Heli Premium, mchezo unaochezwa kwa kasi, akili na ujasiri. Hapa hakuna kusubiri bahati, bali ni wewe kuamua kucheza. Kila raundi ni fursa mpya, kila kupaa kwa helikopta ni changamoto mpya. Mara helikopta inapochukua mwelekeo wa juu, mchezo unakuwa wa sekunde. Vizidishi vinaongezeka, presha inapanda,…

Read More

Manchester United Yaifunga Tottenham 2-0, Yafikisha Ushindi wa Nne Mfululizo

Manchester United, chini ya kocha Michael Carrick, wameendelea na mwendo wa ushindi katika Ligi Kuu England baada ya kuibuka na ushindi wa 2โ€“0 dhidi ya Tottenham Hotspur kwenye mchezo wa ligi uliofanyika Old Trafford. Wafungaji kwa upande wa Man United waliokuwa ni: Bryan Mbeumo aliifungia timu yake bao la kwanza na Bruno Fernandes akamalizia kwa…

Read More

Mtangazaji wa Global TV Angโ€™ara Kwenye Tuzo za Wildaf โ€“ (Picha +Video)

Mwandishi mkongwe wa habari na mtangazaji wa Global TV, Imelda Mtema (@imeldamtema), ameendelea kuthibitisha ubora wake katika tasnia ya habari baada ya kungโ€™ara katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Wildaf, zilizolenga kuwatambua vinara wa mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia. Imelda alikuwa mmoja wa waongozaji wakuu wa tukio hilo muhimu, akionesha umahiri wake wa…

Read More