Simba SC vs de Tunis, Mpanzu ameanzia benchi

Simba SC vs de Tunis ni mchezo wa hatua ya makundi unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Februari Mosi 2026. Kwenye kikosi cha kwanza winga Ellie Mpanzu ameanza benchi huku kiungo mshambuliaji Clatous Chama akianza kikosi cha kwanza. Mshambuliaji Seleman Mwalimu na Jonathan Sowah wote wapo benchi huku kiungo mshambuliaji Gueye akipewa jukumu eneo la ushambuliaji….

Read More

Super Heli Premium Ni Njia Ya Ushindi Ukiwa Angani

Meridianbet Tanzania inaendelea kufungua milango mipya ya burudani na ushindi kwa kuileta rasmi Super Heli Premium, mchezo wa kasino unaochanganya kasi, mkakati na maamuzi ya papo kwa papo. Hapa, si suala la kubahatisha tu, ni kuhusu kusoma mchezo, kuhisi muda sahihi na kuchukua hatua kabla helikopta haijapotea angani. Kila raundi ni hadithi mpya. Unaweka dau…

Read More