Simba SC vs de Tunis, Mpanzu ameanzia benchi

Simba SC vs de Tunis ni mchezo wa hatua ya makundi unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Februari Mosi 2026.

Kwenye kikosi cha kwanza winga Ellie Mpanzu ameanza benchi huku kiungo mshambuliaji Clatous Chama akianza kikosi cha kwanza.

Mshambuliaji Seleman Mwalimu na Jonathan Sowah wote wapo benchi huku kiungo mshambuliaji Gueye akipewa jukumu eneo la ushambuliaji.

Kikosi cha kwanza kipo namna hii:-

Mlinda mlango

Kassali

Mabeki

Shomari Kapombe

De Reuck

Kibabage

Wilson Nangu

Viungo

Oura

Kante

Kagoma

Chama

Gueye

Kibu Dennis

Wachezaji wa akiba

Abel

Duchu

Sowah

Toure

Naby Camara

Morice Abraham

Seleman Mwalimu

Loemba

Mpanzu.

***

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.