Makonda Amtaka Msajili Kukamilisha Mchakato wa Mabadiliko Simba

Paul Makonda, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, amemtaka Msajili wa Vyama vya Michezo nchini, Abel Ngilangwa, kuipa majibu Simba Sports Club kuhusu kinachoendelea katika mchakato wa mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa klabu hiyo. Agizo la Kukamilisha Ndani ya Mwezi Akizungumza, Waziri Makonda amesema msajili anatakiwa kuhakikisha kuwa kabla ya mwezi huu kumalizika,…

Read More

Sundowns Wapeleka Salamu Nzito kwa Wapinzani, Yatinga Robo

Matokeo ya Leo: πŸ‡ΈπŸ‡© Al Hilal SC 1️⃣ – 0️⃣ FC Saint Eloi Lupopo πŸ‡¨πŸ‡© πŸ‡ΏπŸ‡¦ Mamelodi Sundowns 2️⃣ – 0️⃣ MC Alger πŸ‡©πŸ‡Ώ πŸ“Š Msimamo wa Kundi πŸ‡ΈπŸ‡© Al Hilal SC – 11 pts βœ… πŸ‡ΏπŸ‡¦ Mamelodi Sundowns – 9 pts βœ… πŸ‡©πŸ‡Ώ MC Alger – 7 pts πŸ‡¨πŸ‡© St Eloi Lupopo – 5…

Read More

Meridianbet Yajivunia Miradi Zaidi 500 Ya Ustawi wa Jamii

Katika hafla ya chakula cha usiku iliyoandaliwa na American Chamber of Commerce (AmCham), Meridianbet ilisimama kifua mbele kama mmoja wa washiriki wakuu, ikiweka bayana mafanikio yake katika eneo la uwajibikaji kwa jamii. Tangu mwaka 2009, kampuni hiyo imetekeleza miradi zaidi ya 500 ya kijamii nchini, hatua inayoonyesha kwa vitendo dhamira yake ya kurudisha kwa jamii…

Read More