Al-Ittihad Yapiga Bao Kubwa Sokoni, Lorch na Aziz Ki Watua Rasmi Libya
Klabu ya Al Ittihad ya Libya imetangaza rasmi usajili wa wachezaji wake wapya, ikionyesha dhamira ya kuimarisha kikosi katika kipindi hikic ha dirisha dogo ili kufikia lengo la kufanya vizuri mwishoni mwa msimu huu. Miongoni mwa nyota wa waliotambulishwa ni Thembinkosi Lorch (Afrika Kusini) ambaye atavaa jezi namba 11, namba yenye heshima na historia kubwa…