Nani alisema katikati ya wiki hakuna burudani? Meridianbet wameamua kuivunja dhana hiyo kwa kuja na kampeni ya kusisimua ya Jumatano ya Zawadi, inayogeuza kila Jumatano kuwa siku ya matumaini na bahati. Kuanzia Jumatano hadi Jumanne, kila mchezaji anayekata tiketi yenye mechi tatu au zaidi anajikuta tayari yupo kwenye mbio za kushinda zawadi.
Kinachoifanya Jumatano iwe ya kipekee ni zawadi zake zenye mvuto wa kisasa. Kila Jumatano, Meridianbet wanatoa nafasi ya kushinda simu mpya kabisa za Samsung A26, nne kila mwezi. Hii inaifanya kampeni isiwe tu kuhusu kushinda kwenye uwanja wa michezo, bali pia kushinda nje ya uwanja kwa zawadi zinazobadilisha siku yako.
Meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kupitia tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Kadri unavyoongeza mechi kwenye tiketi yako, ndivyo unavyozidi kuongeza nafasi zako za ushindi. Kampeni hii imewakutanisha wachezaji kutoka pande zote, wote wakisubiri kwa hamu ile siku ya jumatano kwa ajili ya kujipatia zawadi.
Uzuri wa Jumatano ya Zawadi uko kwenye urahisi wake. Hakuna masharti ya kuchosha, tiketi ya kuanzia mechi tatu na zaidi inatosha. Wateja wa USSD wanachotakiwa kufanya ni kupiga *149*10# na tayari wamejiunga rasmi na msisimko wa kati ya wiki unaoendelea kuvuma.
Kwa ujumla, Meridianbet wanaendelea kuonyesha kuwa wanaelewa hisia za wachezaji wao. Kupitia Jumatano ya Zawadi, wameifanya siku ya kati ya wiki kuwa sehemu ya burudani, matumaini na zawadi. Ni fursa ya kucheza, kufurahia na kushinda.