WIKENDI ZA MKWANJA NI HII YA LEO

Utamu wa kubashiri ni kula pesa na hii yote utaikuta kwa wababe wa ubashiri Tanzania pekee meridianbet ambapo hapa unapata ODDS KUBWA na za kibabe sana. Timu nyingi zipo uwanjani leo weka mkeka wako uamke na pesa asubuhi kesho. LIGUE 1 kule Ufaransa kurindima leo ambapo Lyon atakuwa ugenini kusaka pointi tatu dhidi ya Metz…

Read More

LIGI YA MABINGWA AFRIKA WABABE KAZINI

LIGI ya Mabingwa Afrika inatarajiwa kuendelea leo Februari 23 kwa timu kushuka uwanjani kusaka ushindi ndani ya uwanja katika dakika 90. Wababe ASEC Mimosas watakuwa kazini kwenye mchezo dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa nchini Ivory Coast. Kwenye mchezo uliopita walipokutana Uwanja wa Mkapa ubao ulisoma Simba 1-1 ASEC Mimosas walipogawana pointi mojamoja.  Al Hilal itakuwa…

Read More

TWIGA STARS KAZINI LEO, HAKUNA KIINGILIO

KOCHA Mkuu wa Timu ya Taifa ya wanawake ya Tanzania, Twiga Stars, Bakari Shime amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo dhidi ya timu ya Afrika Kusini. Shime ameweka wazi kuwa muda wa maandalizi waliopata walitumia kufanyia kazi makosa na kupeana mbinu ambazo zitakuwa kielelezo kwenye mchezo ndani ya dakika 90. Mchezo huo unatarajiwa…

Read More

HAPA UEFA CONFERENCE LEAGUE PALE MKWANJA KUTOKA MERIDIANBET

Wakati michuamo ya Uefa Conference League inaendelea nao mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet nao hawako nyuma wanaendelea kukuhakikishia uhakika wa kushinda mkwanja kupitia michuamo hii. Michuano ya Uefa Conference League itaendelea usiku wa leo na viwanja mbalimbali vitawaka moto, Lakini Meridianbet wanakuambia hii ni fursa nyingine kwako wewe mteja wao kwani michezo…

Read More

MUDATHIR NA JOB WAMEFANYA HAYA YANGA

MIAMBA wawili ndani ya kikosi cha Yanga kwa msimu wa 2023/24 wamefanya yao kwa kuandika rekodi za kuwa nyota wa kwanza kufunga katika mechi za mwanzo kwa kila mzunguko. Kasi ya kiungo Mudathir Yahya kutoka mzunguko wa kwanza imeendelea mpaka mzunguko wa pili akifanya yake ndani ya uwanja. Ikumbukwe kwamba Mudathir alifunga mabao kwenye mechi…

Read More

RINGA NA MAOKOTO YA MERIDIANBET LEO

Mambo vipi mteja wa meridianbet?. Unajua kwamba leo hii ndani ya meridianbet kuna mzigo wakutosha?, yani huku mapene kama yote weka mkeka wako haraka sana leo mechi za Europa na Conference zinaendelea hatua za 16 raundi za pili. Ingia na ubeti sasa. Vijana wa Stephano Pioli AC Milan baada za kutoa kichapo cha maana mechi…

Read More

MWAMBA ALVES AKUTANA NA HUKUMU HII

MAHAKAMA ya juu ya Catalonia nchini Hispania imemuhukumu kutumikia jela miaka minne na nusu nyota wa zamani wa timu ya Taifa ya Brazil na Klabu ya Barcelona Dani Alves . Alves mwenye miaka 40 amehukumiwa adhabu hiyo baada ya kukutwa na hatia ya kosa la shambulio la ngono au unyanyasaji wa kingono kwa Mwanamke mmoja…

Read More

LIVERPOOL WAPINDUA MEZA NYUMBANI

WAKIWA Anflield wamebakiza pointi tatu mazima kwa USHINDI dhidi ya Luton Town mchezo wa Premier League. Wababe hao walipindua meza kibabe wakiwa nyumbani na kukomba pointi tatu mazima. Ni Chiedozie Ogbene alianza kufunga dakika ya 12 lilidumu mpaka wanakwenda mapumziko. Dakika ya 56 beki Virgil van Dijk aliweka usawa, Cody Gakpo aliongeza bao la pili…

Read More

ARAJIGA APATA SHAVU HUKO

KUTOKA Tanzania mwamuzi Ahmed Arajiga amepata shavu la kuwa miongoni mwa waamuzi kwenye mashindano ya All African Games ikiwa ni jambo la kujivunia hivyo ana kazi ya kuongeza umakini kwenye kutimiza majukumu yake. Ipo wazi kuwa waamuzi wa Bongo wamekuwa wakiingia kwenye lawama mara kwa mara kutokana na kile kinachotajwa kutokuwa na maamuzi makini ya…

Read More