Home Sports HAPA UEFA CONFERENCE LEAGUE PALE MKWANJA KUTOKA MERIDIANBET

HAPA UEFA CONFERENCE LEAGUE PALE MKWANJA KUTOKA MERIDIANBET

Wakati michuamo ya Uefa Conference League inaendelea nao mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet nao hawako nyuma wanaendelea kukuhakikishia uhakika wa kushinda mkwanja kupitia michuamo hii.

Michuano ya Uefa Conference League itaendelea usiku wa leo na viwanja mbalimbali vitawaka moto, Lakini Meridianbet wanakuambia hii ni fursa nyingine kwako wewe mteja wao kwani michezo hii imepewa ODDS KUBWA ili kuhakikisha unashinda mkwanja wa kutosha.

Real Betis leo watakua na kibarua ugenini dhidi ya klabu ya Dinamo Zagreb ya nchini Croatia mchezo huu utakua mgumu zaidi kwa Real Betis, Kwani leo wapo ugenini na walipoteza mchezo wa kwanza dhidi ya Dinamo Zagreb wakiwa nyumbani.

Klabu ya Eintracht Frankfurt leo itashuka dimbani katika mchezo wa marudiano dhidi ya klabu ya St. Union Gilloise, Mchezo wa leo utaanza upya kwani mchezo wa kwanza ulimalizika kwa sare ya mabao mawili hivo mchezo wa leo unaenda kuanza upya na kua wenye ushindani mkubwa.

Mchezo mwingine utakaopigwa leo kwenye michuano ya Uefa Conference League hatua ya 32 bora ni kati ya Ferencvaros dhidi ya Olympiacos, Baada ya mchezo wa kwanza Olympiacos kupata matokeo ya ushindi hivo mchezo wa leo ni wazi Ferencvaros na watapambana kupata matokeo ya ushindi katika dimba lao la nyumbani.

Klabu ya Bodo/Glimt leo itakua nyumbani kuikaribisha klabu ya Ajax Amsterdam ili kutafuta mshindi ambaye ataenda hatua ya 16 bora ya michuano ya Uefa Conference League, Huku mchezo huu ukitarajiwa kua mkali kwani kila timu ina nafasi kwakua mchezo wa kwanza ulimalzika kwa sare ya mabao mawili kwa mawili.

Suka mkeka wako kwenye michezo mikali ya Uefa Conference League kwani ODDS KUBWA, Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.

Previous articleMUDATHIR NA JOB WAMEFANYA HAYA YANGA
Next articleAMELETA BALAA CHAMA NDANI YA SIMBA