Home Sports WIKENDI ZA MKWANJA NI HII YA LEO

WIKENDI ZA MKWANJA NI HII YA LEO

Utamu wa kubashiri ni kula pesa na hii yote utaikuta kwa wababe wa ubashiri Tanzania pekee meridianbet ambapo hapa unapata ODDS KUBWA na za kibabe sana. Timu nyingi zipo uwanjani leo weka mkeka wako uamke na pesa asubuhi kesho.

LIGUE 1 kule Ufaransa kurindima leo ambapo Lyon atakuwa ugenini kusaka pointi tatu dhidi ya Metz ambao wapo chini kwenye msimamo wa ligi. 3.92 ndio ODDS za mwenyeji kushinda huku mgeni akipewa 1.93. Bashiri mechi hii na meridianbet sasa.

SERIE A ambayo itawapamabanisha Bologna dhidi ya Hellas Verona ambao wanapumulia mashine kwenye msimamo wa ligi kwani wapo nafasi ya 18 hadi sasa. Mwenyeji yupo nafasi ya 5 huku meridianbet wakimpa nafasi kubwa za kuondoka na pointi tatu kwa ODDS 1.52 kwa 6.46. Mechi za mwisho walitoa suluhu. Je leo hii nani ni nani?. Jisajili hapa

Kumbuka kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

LALIGA, Real Sociedad atakipiga dhidi ya Villarreal katika dimba la Real Arena majira ya saa 5:00 usiku.

Sociedad yupo nafasi ya 6 kwenye msimamo wa ligi baada ya kushinda mchezo wake uliopita, huku mgeni akitoa sare mchezo wake uliopita na kumfanya ashike nafasi ya 13 kwenye msimamo wa ligi.

Mara za mwisho kuonana, mwenyeji aliondoka na ushindi. Je leo hii mgeni anaweza kulipa kisasi kwa ODDS yake za 4.60 kwa 1.78?. Suka jamvi lako na ubashiri sasa mechi hii ya kibabe.

BUNDESLIGA bado inazidi kuwa ya moto sana na Ijumaa ya leo kinara wa ligi hiyo ambaye hajapoteza mchezo wowote, Bayer Leverkusen chini ya kocha mkuu watakuwa wenyeji wa Mainz ambao wanahali mbaya sana. Meridianbet wamempa mwenyeji ushindi kwa ODDS 1.22 kwa 11.76. Wewe beti yako unaiweka wapi hapa?. Tengeneza jamvi sasa.

 

Previous articleLIGI YA MABINGWA AFRIKA WABABE KAZINI
Next articleDANI ALVES AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA MINNE NA MIEZI 6 JELA