Home Sports LIGI YA MABINGWA AFRIKA WABABE KAZINI

LIGI YA MABINGWA AFRIKA WABABE KAZINI

LIGI ya Mabingwa Afrika inatarajiwa kuendelea leo Februari 23 kwa timu kushuka uwanjani kusaka ushindi ndani ya uwanja katika dakika 90.

Wababe ASEC Mimosas watakuwa kazini kwenye mchezo dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa nchini Ivory Coast.

Kwenye mchezo uliopita walipokutana Uwanja wa Mkapa ubao ulisoma Simba 1-1 ASEC Mimosas walipogawana pointi mojamoja.

 Al Hilal itakuwa dhidi ya   Petero Atletico

 Medeama SC dhidi ya Al Ahly

 ASEC Mimosas dhidi ya Simba SC

Previous articleTWIGA STARS KAZINI LEO, HAKUNA KIINGILIO
Next articleWIKENDI ZA MKWANJA NI HII YA LEO