JEMBE JIPYA YANGA LAWATAJA AZIZ KI NA PACOME
JOSEPH Guede mshambuliaji mpya wa Yanga ameweka wazi kuwa uwepo wa viungo ndani ya kikosi hicho ikiwa ni pamoja na Aziz KI, Pacome kunampa nguvu ya kuamini kwamba atafunga mabao mengi kwenye mechi za ushindani kitaifa na kimataifa.