
ALICHOKISEMA RAIS WA YANGA, INJINIA HERSI SAID KWENYE MKUTANO MKUU
“Tulifanikiwa kurejea hatua ya makundi ligi ya Mabingwa AFRIKA baada ya miaka 25. Watu wengi walidhani kuwa hatutaweza kufika hatua ya robo fainali kwa sababu tulikuwa kwenye kundi gumu sana. Lakini tukawashangaza wale waliotukatia tamaa. Tulifanikiwa kutinga hatua ya robo fainali na kutolewa kwa matuta na Bingwa wa AFL na kigogo wa soka AFRIKA KUSINI,…