
YANGA HAWAJARIDHIKA KABISA NA WALICHOPATA KIMATAIFA
NASREDDINE Nabi Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa hawajaridhika na kuongoza kundi katika hatua ya Kombe la Shirikisho Afrika bali wanahitaji kusonga mbele mpaka hatua ya nusu fainali. Yanga inayonolewa na raia huyo wa Tunissia ilitinga hatua ya robo fainali ikiwa na pointi 13 katika kundi D na kete yake ya kwanza robo fainali ya…