
SABABU YA PROGRAM MAALUM KWA FEI
KIUNGO wa Yanga na timu ya Taifa, Taifa Stars, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amepewa mazoezi maalumu kwa ajili ya kumuongezea fitinesi kuelekea kwenye mchezo wa leo dhidi ya Uganda. Stars leo itakuwa mgeni wa Uganda kwenye Uwanja wa Suez Canal, mjini Ismailia nchini Misri ukiwa ni mchezo wa kuwania kufuzu Afcon. Kumbuka Desemba mwaka jana…