
MWAMBA LUSAJO ANASEPA NAMUNGO
NYOTA Reliants Lusajo ameandika ujumbe kwenye ukurasa wake wa Instagram wa kuiaga familia yake ya Namungo alikokuwa akipambania majukumu yake. Namungo inashiriki Ligi Kuu Bara inatumia Uwanja wa Majaliwa kwa mechi za nyumbani. Dirisha dogo la usajili tayari limefunguliwa tangu Desemba 16 na wachezaji wanatoka na kuingia kwenye klabu tofauti ambapo ameweka wazi kwamba anakwenda…