
KIEPE NYANI, TANZANIA ONE ASIYEIMBWA
FADHILI Majiha (Kiepe Nyani) bondia wa ngumi za kulipwa nchini ambaye kwa sasa anashikilia rekodi ya kuwa bondia namba moja (Tanzania One) akiwa na hadhi ya nyota nne. Majiha ambaye ni bingwa wa WBC Afrika na UBO alianza kucheza ngumi za kulipwa mwaka 2008 ambapo pambano lake la kwanza alipanda ulingoni dhidi ya Ramadhan Kumbele…