
LIGI IMEANZA MATOKEO YASAKWE KWA HAKI, MUDA MCHACHE
TUMEONA namna Ligi Kuu Tanzania Bara ilivyoanza kwa kasi huku kila timu ikipambana kuonyesha uwezo wake ndani ya uwanja katika kutafuta ushindi na hii inaonyesha maandalizi yalikuwa bora. Pongezi kubwa kwa wachezaji ambao wameanza kuonyesha uwezo wao na hili linapaswa kuwa endelevu na sio kwenye mechi za mwanzo kisha mechi zinazofuatwa ikawa tofauti. Timu zote…