
SIMBA 1-0 DODOMA JIJI, UWANJA WA UHURU WANAPATA TABU
LINAPIGWA pira Uturuki v Pira Zabibu Uwanja wa Uhuru huku ukuta wa Dodoma Jiji ukiwa imara kuwakabili wapinzani wao. Licha ya nguvu walizonazo Dodoma Jiji kuwazuia washambuliaji wa Simba wakiongozwa na Jean Baleke ni mashuhuda ubao ukisoma Simba 1-0 Dodoma Jiji. Jean Baleke ametupia bao dakika ya 43 kwenye Uwanja wa Uhuru ambao timu zote…