IJUE REKODI ALIYOFUNGA NAYO JOHN BOCCO
NAHODHA wa Simba John Bocco amefunga msimu wa 2022/23 na rekodi yake a kufuta gundu ya kukwama kupachika bao ndani ya 2023. Ipo wazi kuwa ni Desemba 30 2022 Bocco alifunga mabao kwenye mchezo wa kufungia mwaka kwa Simba alipowatungua mabao matatu Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa. Bocco alianza kwa kasi kwenye kucheka na nyavu…