>

SENEGAL NDANI YA BONGO

INAINGIA kwenye rekodi mpya ndani ya Bongo kwa mchezaji anayecheza Ligi Kuu Bara kuitwa timu ya Taifa ya Senegal. Ni Pape Ousmane Sakho ameitwa kwenye Timu ya Taifa ya Senegal kwenda kujumuika na wenzake kwaajili ya maandalizi ya mchezo wa kutafuta tiketi ya kufuzu AFCON 2023 dhidi ya Msumbiji. Sakho bado hajawa kwenye mwendo mzuri…

Read More

SIMBA WAIPIGIA HESAU ROBO FAINALI

BEKI mwenye uwezo wa kupandisha na kulinda lango la Simba, Shomari Kapombe ameweka wazi kuwa watapambana kufikia malengo ya kutinga hatua ya robo fainali. Simba ikiwa imecheza mechi nne za hatua ya makundi, Kapombe ameanza zote kikosi cha kwanza huku akishuhudia timu hiyo ikifungwa mabao manne na wao wakifunga mabao mawili. Mchezo wao dhidi ya…

Read More

RUVU SHOOTING:TUNACHUKUA POINTI KWENYE UGUMU

MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting amesema kuwa mwendo wa mpapaso utaendelea kwenye mechi zilizobaki licha ya kuwa zitakuwa ngumu hawana mashaka. Timu hiyo haijawa kwenye mwendo mzuri Februari 17 ilishuhudia ubao wa Uwanja wa Nyankumbu ukisoma Geita Gold 3-2 Ruvu Shooting na Februari 24 ilishuhudia ubao wa Uwanja wa Jamhuri, Moro ukisoma Ruvu…

Read More

INFANTINO ACHAGULIWA TENA KUONGOZA FIFA

Rais wa shirikisho la kandanda duniani Gianni Infantino amesema kwamba ataendelea kuimarisha kukua kwa sekta ya soka ulimwenguni kwa kuinua kiwango cha mpira wa watoto wadogo. Infantino ameyasema hayo mjini Kigali Rwanda baada ya kuchaguliwa tena kwa kipindi cha miaka minne ijayo Gianni Infantino alichaguliwa kwa wingi wa kura za wajumbe wote 208 waliohudhuria kongamano…

Read More

TABASAMU KIMATAIFA LINAHITAJIKA

MBALI kimataifa kila mchezaji anapenda kuona timu yake inafika hata mashabiki pia wanafikiria jambo hilo hasa ukizingatia kwamba mechi zinazofuata zinachezwa Uwanja wa Mkapa. Kuna furaha kubwa kwenye mechi za kimataifa zinapochezwa Uwanja wa Mkapa mbele ya mashabiki wa timu husika ambao wamekuwa wakijotokeza kwa wingi. Hakika katika hili ni muhimu kila mmoja kuguswa na…

Read More

YANGA YAWAITA MASHABIKI KWA MKAPA

ALI Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amesema ni muhimu kwa mashabiki kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Mkapa kushuhudia kazi dhidi ya US Monastir. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Jumapili ambapo kwa sasa tiketi zinaendelea kuuzwa. Kwenye muda wa hamasa mashabiki wa Yanga wamepata fursa ya kuzungumza na wachezaji wa timu hiyo kwa njia…

Read More

KAGERA SUGAR KUJIPANGA UPYA

KOCHA Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amesema kuwa watajipanga kwa mechi zijazo ili kupata matokeo mazuri. Timu hiyo kwenye mchezo uliopita ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-0 dhidi ya KMC uliochezwa Uwanja wa Uhuru. Maxime amesema kuwa kuna kazi kubwa ya kuwaandaa wachezaji wake kupata matokeo mazuri kwenye mechi za ligi na wanaamini watarejea kwenye…

Read More