Kikosi cha Simba SC dhidi ya Stade Malien mchezo wa pili CAF Champions League hatua ya makundi Novemba 30,2025 kipo namna hii:-
Yakoub Suleiman, Anthony Mligo, Joshua Mutale, Jean Ahoua, Shomari Kapombe, De Reuck.
Naby Camara, Wilson Nangu, Ellie Mpanzu, Neo Maema na Seleman Mwalimu.
Akiba ni Hussen Abel, Duchu, Chamou, Yusuph Kagoma, Semfuko, Kante, Jonathan Sowah, Steven Mukwala, Morice Abraham.
Simba SC inakumbukumbu ya kupoteza mchezo uliopita ikiwa nyumbani kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Petro de Luanda.
Katika mchezo huo washambuliaji wote wa asili walianzia benchi, leo benchi la ufundi chini ya Meneja Mkuu, Dimitar Pantev limeanza na mshambuliaji Seleman Mwalimu.
***
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.
Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.