
FOBA AJIFUNZE ILI AKOMAE
KIJANA mdogo kafanya makosa ya kitoto dakika ya 27 mbele ya Singida Big Stars kwenye mchezo wa kuwania nafasi ya kutinga hatua ya fainali ya Kombe la Mapinduzi 2023. Zuber Foba mpira aliorejeshewa na beki wake alikuwa na chaguo la kumpelekea Bruce Kangwa ambaye alikuwa kwenye eneo sahihi. Alikuwa anapewa maelekezo pia na mchezaji mwenzake…