
MUSONDA MTU WA KAZI, SABABU ZA KUPEWA DILI YANGA
MUSONDA mtu wa kazi, sababu za kupewa dili Yanga ipo hivi
MUSONDA mtu wa kazi, sababu za kupewa dili Yanga ipo hivi
SIMBA imepata sare ya kufungana mabao 2-2 dhidi ya CSKA Moscow nchini Dubai kwenye mchezo wa kirafiki. Dakika 45 za mwanzo Simba ilikuwa imefungwa mabao hayo mawili. Kipindi cha pili walifanya kazi kubwa kusaka ushindi lakini wakagotea kwenye sare hiyo. Mabao yote ya Simba yamefungwa na mzawa Habib Kyombo.
KUELEKEA kwenye mchezo wa kesho wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga dhidi ya Ihefu mastaa watatu wanatarajiwa kuukosa mchezo huo. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu,Nasreddine Nabi kesho Januari 16 ina kibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Ihefu. Katika mchezo wa mzunguko wa kwanza ubao wa Uwanja wa Highland State ulisoma Ihefu 2-1 Yanga….
ISMAEL Sawadogo kiungo mkabaji raia wa Burkina Faso ametambulishwa rasmi ndani ya kikosi cha Simba. Ni raia wa Burkina Faso ameletwa duniani 1996 ana miaka 26. Alikuwa anakipiga Klabu ya Difaa Hassani El Jadid Anakuja kuchukua mikoba ya Victor Ackpan ambaye atatolewa kwa mikopo. Ackpan raia wa Nigeria amekwama kufiti kikosi cha kwanza cha Simba…
Shirikisho la soka nchini Kenya limewasimamisha kazi wachezaji 14 na makocha wawili kwa tuhuma za upangaji matokeo baada ya kupokea taarifa kuhusu udanganyifu katika ligi ya taifa. Miongoni mwa waliosimamishwa Ijumaa ni wachezaji sita kutoka Zoo Kericho FC, ambayo ilipatikana na hatia ya kupanga matokeo na kitengo cha uadilifu cha FIFA mnamo 2021 na kufukuzwa…
Mchezo wa Blackjack Live Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet inakuletea mchezo bomba wa Blackjack Live unaopatikana mubashara ukiwa umetengenezwa na watenganezaji maarufu wa michezo ya kasino, Expanse Studios. Blackjack Live ni mchezo wenye maudhui na sheria za Ulaya unaochezeshwa mubashara kwakutumia kibunda chenye karata 8. Mchezo wa Blackjack Live ni mchezo unaopendwa na kuchezwa sana…
NGOMA imepigwa kinomanoma mpaka wenyewe wakaona isiwe tabu wakaacha pointi tatu mazima Uwanja wa Falmer. Ni katika mchezo wa Ligi Kuu England uliowakutanisha miamba Brighton dhidi ya wababe Liverpool. Dakika 90 zimekamilika Brighton 3-0 Liverpool yenye Mohamed Salah akiwa ndani ya kikosi. No Solly Marchi alitupia kambani mbili dakika ya 46 na 53 na moja…
TAARIFA kutoka DR Congo zinaeleza kuwa Klabu ya Simba ipo katika hatua nzuri za kukamilisha usajili wa mshambuliaji Jean Marc Makusu Mundele. Simba kwa sasa ipo nchini Dubai ambapo inaendelea na kambi yake kwa ajili ya maandalizi ya mzunguko wa pili na mechi za kimataifa. Wakala wa mchezaji huyo, Faustino Mukandila ameweka wazi kuwa mchezaji…
SUPER Jack Grealish alianza kupeleka furaha kwa Manchester City kwenye mchezo wa Dabi lakini meza ilivyopinduliwa hakuamini. Baada ya dakika 90 kukamilika ubao wa Uwanja wa Old Trafford umesoma Manchester United 2-1 City. Ni dakika ya 60 bao la kwanza lilifungwa na Jack Grealish huku bao la United likifungwa na Bruno Fernades dakika ya 78….
ALIKUWA moja ya wachezaji tegemeo ndani ya kikosi cha Yanga kwenye eneo la ushambuliaji ambapo aliunda pacha nzuri na Deus Kaseke. Yacouba amewaaga mabosi wa timu hiyo na kuwashukuru kwa muda ambao alikuwa nao ndani ya kikosi hicho. Alikuwa nje kwa muda wa msimu mzima akipambania hali yake baada ya kupata maumivu kwenye mchezo wa…
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa kwa sasa unawekeza nguvu zao zote kwenye Ligi Kuu Bara na Kombe la Azam Sports Federation ambalo wanashiriki. Timu hiyo ilienguliwa kwenye Kombe la Mapinduzi 2023 kwa kugotea hatua ya nusu fainali baada ya ubao wa Uwanja wa Amaan kusoma Azam FC 1-4 Singida Big Stars, Januari 8….
MWENDELEZO wa ligi unatarajia kurejea kwa kasi kutokana na kila timu kuwa na shauku ya kupata pointi tatu muhimu. Huu ni mzunguko wa pili ambao hauna chaguo la nani atafungwa iwe nyumbani ama ugenini mambo yamebadilika sana siku hizi. Haya yote yanatokana na ushindani uliopo kwani hata zile ambazo zinajiita timu kongwe zimekuwa zikipata ugumu…
TAARIFA zikufikie kuwa, kiungo wa Al Ahly ya nchini Misri, Luis Miqquissone ameikubali ofa nono aliyowekewa na mabosi wa Yanga ili kufanikisha dili lake la kutua mitaa ya Jangwani. Luis ni kati ya wachezaji wanaotajwa kuwaniwa na Yanga katika usajili huu wa dirisha dogo lililofunguliwa tangu Desemba 16,2022. Wachezaji wanaotajwa kuwepo katika mipango ya kusajiliwa…
MLANDEGE kutoka Zanzibar ni mabingwa wa Mapinduzi Cup 2023 baada ya kuitingua Singida Big Stars kwenye hatua ya fainali Uwanja wa Amaan. Ni ushindi wa mabao 2-1 walipata kwenye fainali iliyokuwa na ushindani mkubwa. Mabao kwenye mchezo huo yalifungwa na Bashima Saile dakika ya 7 na lile la ushindi lilifungwa na Abdulnassir Mohamed dakika ya…
INGIZO jipya ndani ya Mtibwa Sugar, Vitalis Mayanga ameweka wazi kuwa ilikuwa ni ndoto yake kujiunga na Mtibwa Sugar alipoanza soka la ushindan. Hivyo kujiunga na timu hiyo ametimiza ndoto yake ya muda mrefu. Mayanga alitambulishwa rasmi kuwa ni mali ya Mtibwa Sugar Januari 11,2023. Ni ingizo jipya ambapo alikuwa anakipiga ndani ya Polisi Tanzania…