
SIMBA NA YANGA ZASHINDANA KUCHANGA MKWANJA
WATANI wa jadi Yanga na Simba kupitia Azam TV wamefungua kampeni ya NANI ZAIDI ambayo itakuwa inawahusisha mashababiki wa timu hizo mbili ambao watakuwa wanashindana kuchangia pesa kwenye timu zao. Watachangia pesa hizo kupitia mitandao ya simu ikiwa ni Tigo, Airtel na Vodacom kisha baadaye mshindi atachaguliwa na kutangazwa. Mtendaji Mkuu wa Simba,(CEO), Barbra Gonzalez…