
WAARABU WAMFUATA TENA KIUNGO WA KAZI YANGA
MABOSI wa Berkane FC ya nchini Morocco wamefunga safari kumfuata kiungo mchezeshaji, Feisal Salum ‘Fei Toto’ kwa ajili ya kuinasa saini yake ikiwa ni baada ya kukoshwa na uwezo wake ambao amekuwa akiuonyesha kila mara akiwa anaitumikia timu hiyo. Kiungo huyo mara kadhaa amekuwa akiwaniwa vikali na baadhi ya klabu za nje ya nchi kwa…