
KIUNGO WA KAZI CHELSEA KUSEPA BURE
KIUNGO wa klabu ya Chelsea Ngolo Kante ameripotiwa huenda akaondoka klabuni hapo bure kabisa mwishoni mwa msimu ujao kutokana na kumalizika kwa mkataba wake na kutokuwepo kwa maendeleo yoyote kwenye mazungumzo ya mkataba mpya. Kwa mujibu wa mwandishi maarufu wa Habari za michezo Fabrizio Romano amebainisha kuwa upo uwezekano mkubwa wa kiungo huyo raia wa Ufaransa…