
MAYELE CHINI YA ULINZI
KOCHA Mkuu wa Polisi Tanzania,Joslin Sharif amesema kuwa amezungumza na mabeki wake kuhakikisha kwamba hawafanyi makosa mbele ya Yanga leo kwa kumlinda mshambuliaji Fiston Mayele asije kuwaadhibu pamoja na wachezaji wengine. Mayele ni mshambuliaji namba moja ndani ya Yanga ambapo alikamilisha msimu wa 2021/22 akiwa ametupia mabao 16 na pasi nne za mabao leo anakwenda…