
STAA HUYU KUTOKA LEEDS UNITED MALI YA MAN CITY
KLABU ya Manchester City, imefanikiwa kukamilisha dili la kumsajili kiungo wa Leeds United, Kalvin Phillips kwa pauni 45m. Kiungo huyo mwenye miaka 26, katika hela yake hiyo ya usajili, pauni 42m ndiyo fedha iliyolipwa, huku pauni 3m itakuwa kwa ajili ya bonasi. Mabingwa hao wa Premier League, wamemsajili Phillips kama mbadala wa Fernandinho ambaye alidumu…