
KOCHA WA VIWANGO ATUA SIMBA, ASHAFIKA HATUA YA NUSU FAINALI KOMBE LA AFRIKA
SIMBA msimu ujao itakuwa chini ya Kocha Mserbia, Zoran Manojlović, 59, ambaye anarekodi ya kufundisha klabu kubwa barani Afrika. Mei 31, mwaka huu iliachana na kocha wao Pablo Franco baada ya kutoka kufungwa na Yanga bao 1-0 kwenye nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam na kuzima ndoto ya timu hiyo kubeba kombe hata…